RAIS WA JAMHURI YA KENYA SAMOEL RUTO AWASILI KATIKA KUSHIRIKI KATIKA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA



Rais wa Jumhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndega wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha. 

Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiambatana Viongozi Waandamizi mbalimbali wa Serikali






 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO