MCHANGO WA WMA KUWEZESHA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE WATAMBULIWA*


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imetoa cheti cha shukrani kwa Wakala wa Vipimo (WMA) ikitambua mchango wake katika kuwezesha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa ngazi ya Mkoa.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika Kongwa, Machi 8, 2026,  Mkuu wa Mkoa, Mhe. Rosemary Senyamule amekabidhi cheti hicho chenye sahihi yake.

Mbali na kuchangia fedha kuwezesha maadhimisho hayo, pia WMA iliweka kambi kwenye viwanja vya maadhimisho na kutoa elimu ya vipimo kwa wananchi.



 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO