HUDUMA ZA NISHATI BORA NI NGUZO YA KILIMO CHA KISASA CHENYE TIJA
Huduma za Nishati Bora ni nguzo muhimu za kilimo cha kisasa na chenye tija, maendeleo ya viwanda vijijini, ajira kwa vijana, na ustawi wa wananchi. REA itaendelea kuhakikisha umeme na nishati safi ya kupikia vinawafikia wananchi na hatimae kuchangia katika kufikia malengo ya Dira 2050
_Nawakaribisha wote kutembelea banda la REA tujifunze, tushirikiane na tujenge Tanzania yenye nishati ya uhakika na kilimo cha kisasa_
Mha. Hassan Saidy - Mkurugenzi Mkuu REA

Comments
Post a Comment