*WAANDISHI WA HABARI WAPATA ELIMU YA MIRADI YA NISHATI NANENANE*



Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wametembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya NaneNane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.

 Mara baada ya kutembelea banda hilo waandishi hao wameelezwa kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini.

Pia  wameelezwa kuhusu jitihada za Serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia pamoja na fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika sekta ya nishati




Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO