MJILOJIA NURU HELAMBILI ATOA ELIMU MATUMIZI YA GESI ASILIA (CNG) KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI
Mjiolojia Nuru Helambili kutoka Wizara ya Nishati akitoa elimu kuhusu matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kwenye vyombo vya usafiri kwa wananchi wanaoendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya NaneNane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.
Maonesho ya NaneNane mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu isemayo: "Tambua Soko, Ongeza Tija, Tekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050."
Karibu Banda la Wizara ya Nishati! TUPO GOVERNMENT PAVILION NO. 2



Comments
Post a Comment