WATAALAM KUTOKA WIZARA YA A NISHATI WAKIWA KATIKA MAONESHO YA (NANENANE)
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati wakiwa katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.
Mara uingiapo katika viwanja vya maonesho, tembelea Government Pavilion No. 2, ambapo Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake wanakukaribisha kupata elimu kuhusu umeme, mafuta, gesi asilia, nishati safi ya kupikia pamoja na kupata huduma nyingine mbalimbali za sekta ya nishati.
.


Comments
Post a Comment