*REA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE 2026*



Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki Maonesho ya Nane Nane 2026 jijini Dodoma.

Tembelea banda la REA ujifunze kuhusu utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, miradi ya nishati safi ya kupikia na vituo vidogo vya mafuta vinavyochangia kuongeza tija, kuchochea maendeleo ya wananchi na kukuza uchumi wa Taifa.

Kauli Mbiu:
“Tambua Soko, Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050.”


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO