WATAALAM WA WIZARA YA YA NISHATI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI (NANE NANE)



Leo tarehe 6 Agosti 2026, Wataalam wa Wizara ya Nishati, wanaendelea kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la Wizara  katika Maonesho ya Wakulima (NaneNane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt.John Samuel Malecela Nzuguni jijini Dodoma.

Ndani ya Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Wizara ya Nishati ipo katika Government Pavilion No.2



Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO