*UTALII KIDIJITALI NDIO HABARI YA DODOMA.*



Wakati Maonesho ya Nanenane yakiendelea kupamba moto katika maeneo mbalimbali nchini, Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kutanua mbawa zake na kuonesha vivutio vya utalii mubashara kupitia mitandao ya kijamii na luninga kubwa iliyofungwa kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.

Watalii wanaotembelea maonesho hayo wameshuhudia vivutio vya wanyama mbalimbali kama Faru, Tembo, Pundamilia, Swala, Nyumbu, Simba wakiwa honeymoon, na makundi ya Nyati yakiwa yanajimbwafai katika maeneo yao ya asili.

Akiwa katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, Meneja wa Idara ya Utalii na Masoko wa Ngorongoro SACC. Mariam Kobelo, ameeleza kuwa Ngorongoro imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya utalii na kuboresha huduma ili wageni waweze kushuhudia vivutio mubashara na kufurahia huduma zinazotolewa na Ngorongoro.

“Ngorongoro ikiwa ni eneo la kipekee, tumejipanga kuendelea kutumia teknolojia za kisasa kufikia watu na kuona maajabu na simulizi adhimu za kipekee. Ngorongoro ni n

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO