NIT YAPONGEZA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA HALI YA HEWA .


Dodoma Agosti 5, 2025;

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Dkt. Prosper Mgaya ametembelea banda la TMA katika maonesho ya Kitaifa ya Wakulima NaneNane 2025 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma. 

Mhandisi Dkt. Mgaya Katika ziara yake banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) aliipongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na TMA alisema 

"Nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoifanya  na watanzania wengi sasa wameweka imani kubwa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kwasababu utabiri mnaotoa una uhalisia ukilinganisha na kipindi cha nyuma"

 


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO