WAZIRI BALOZI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NCHINI TANZANIA LEONTINE NZEYIMANA DAR ES SALAAM

 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na Balozi wa Jamhuri ya Burundi nchini Tanzania, Mhe. Leontine Nzeyimana, katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Burundi.


 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO