WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI ZISIZO WANACHAMA WA UMOJA WA ULAYA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na mabalozi wa nchi zisizo wanachama wa  Umoja wa Ulaya (Non-EU Ambassadors) waliopo nchini, kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kujadili maeneo ya ushirikiano wa pamoja. 

Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mabalozi kutoka Norway, Switzerland, Uingereza na Canada.





 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO