MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AWASILI NCHINI MAREKANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, akiwasili Jijini New York nchini Marekani leo tarehe 21 Septemba 2025. Makamu wa Rais yupo nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80).
Comments
Post a Comment