MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO ANATARAJIWA KUHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuhutubia Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo tarehe 25 Septemba 2025.
Comments
Post a Comment