MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AKIZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA DUNIA AJAY BANGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo wakizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Ajay Banga wakati wa ufunguzi wa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani leo tarehe 23 Septemba 2025

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Abbot anayeshughulikia biashara ya Ulaya,Mashariki ya Kati na Afrika Dkt. Rabah El Menshawy, mazungumzo yaliyofanyika pembezoni mwa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80) Jijini New York nchini Marekani.
Comments
Post a Comment