KATA YA IHUMWA-JIMBO LA MTUMBA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Ndg. Anthony Mavunde ameendelea na awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.
Ndugu Mavunde ameendelea na ziara yake kata ya IHUMWA na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya ;-πΎπππ£π’π€π’ππ
πΎπππ‘π¬ππ£π
ππ‘π€π‘π€
-πππͺπ’π¬a
Ndg. Mavunde pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia S. Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Ihumwa Ndg. Edward Magawa
Comments
Post a Comment