MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA WA JAMHURI YA AUSTRIA MHE CHRISTIAN STOCKER



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela wa Jamhuri ya Austria Mhe. Christian Stocker, mazungumzo yaliyofanyika pembezoni mwa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha maeneo mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Austria.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff wakitoka katika Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani mara baada ya kushiriki mikutano mbalimbali wakati wa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.


Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO